VICHWA MBALIMBALI

Kenyatta "Demokrasia imedhihirika Kenya"


Rais mpya mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametaja ushindi wake kwenye uchaguzi wa Kenya kama ushindi kwa demokrasia na amani.
Hongera sana Kenya kwa kuwa na uchaguzi wa haki na amani, pamoja na changamoto nyingi zilizoikabili nchi, Hakika nchi za Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla wake zitaiga mfano wenu....Mungu ibariki Kenya.



No comments:

Post a Comment

Injili ya Yesu Kristo Designed by INNJILI TANZANIA Copyright © 2013-2015

Injili Tanzania Blog. Theme images by Jason Morrow. Powered by Blogger.