MUNGU WA BWANA WANGU YESU KRISTO, BABA WA UTUKUFU
UNIPE MIMI ROHO YA HEKIMA NA YA UFUNUO KATIKA KUKUJUA WEWE,
MACHO YA MOYO WANGU YATIWE NURU NIJUE TUMAINI LA MWITO WAKO JINSI LILIVYO NA UTAJIRI WA UTUKUFU WA URITHI WAKO KWANGU MIMI MTAKATIFU JINSI ULIVYO,
UBORA WA UKUU WA UWEZA WAKE NDANI YANGU NIAMINIE JINSI ULIVYO KWA KADRI YA UTENDAJI WA NGUVU ZA UWEZA WAKE ULIOTENDA NDANI YA KRISTO ULIPOMFUFUA KATIKA WAFU, UKAMWEKA MKONO WAKE WA KUUME KATIKA ULIMWENGU WA ROHO JUU SANA KULIKO UFALME WOTE NA MAMLAKA NA NGUVU NA USULTANI NA KILA JINA LITAJWALO WALA SI ULIMWENGUNI HUMU TU BALI KATIKA ULE UJAO PIA.
AKAVITIA VITU VYOTE CHINI YA MIGUU YAKE AKAMWEKA AWE KICHWA JUU YA VITU VYOTE KWA AJILI YANGU MIMI NILIYE SEHEMU YA KANISA AMBALO NDILO MWILI WAKE. AMEN
KUMJUA MUNGU
-
KUMJUA MUNGU NI CHANZO CHA MAFANIKIO YAKO YOTE 21 Mjue sana Mungu, ili uwe
na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia. Ayubu 22:21 Kumjua Mungu ni kuwa na
ufaham...
thanks for useful information
ReplyDelete