Semina ya neno la Mungu kupitia huduma ya Mana ministry itaanza tarehe 1 march,2015 kwa siku 8 mpaka tarehe 8 march,2015 katika viwanja vya Jangwani kuanzia saa 10:00 jioni na mnenaji ni Mwallimu Christopher Mwakasege.
Kwa wale walio nje ya Dar es salaam,au watashindwa kufika kwa namna moja au nyingine utapata nafasi ya kuona na kusikia LIVE kupitia blog hii ya Injili Tanzania lakini pia Ustream na kicheko.com
Tafadhali mualifu mwenzako
KUMJUA MUNGU
-
KUMJUA MUNGU NI CHANZO CHA MAFANIKIO YAKO YOTE 21 Mjue sana Mungu, ili uwe
na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia. Ayubu 22:21 Kumjua Mungu ni kuwa na
ufaham...
No comments:
Post a Comment