Leo ikiwa ni siku ya nne ya semina ya Mwalimu Christopher Mwakasege inayoendelea katika viwanja vya Jangwani yenye kichwa cha somo "UHUSIANO WA VITI VYA ENZI NA MAFANIKIO YAKO"
Kiti cha enzi ni nafasi ya utawala uliyopo katika ulimwengu wa roho ambayo ina mamlaka juu ya muelekeo wa maisha yetu.
Nguvu za giza hazina mamlaka ya kiutawala bila kiti cha enzi, Shetani amempa mnyama nguvu , kiti cha enzi na uwezo mwingi ili kupambana na watakatifu wa Mungu.
Ufunuo13:2
Endelea kutazama hapa wiki hii nzima kupitia ustream upate undani wa somo hili.
KUMJUA MUNGU
-
KUMJUA MUNGU NI CHANZO CHA MAFANIKIO YAKO YOTE 21 Mjue sana Mungu, ili uwe
na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia. Ayubu 22:21 Kumjua Mungu ni kuwa na
ufaham...
God is Good
ReplyDelete