Kongamano la 7 la maombi ya kitaifa ambalo huwa linafanyika kila mwaka, Limeanza leo ndani ya Dodoma. Fuatilia maombi haya moja kwa moja kupitia youstream channel ya Christopher and Diana Mwakasege, au bonyeza kwenye link hapo juu iliyoandikwa MWAKASEGE LIVE
KUMJUA MUNGU
-
KUMJUA MUNGU NI CHANZO CHA MAFANIKIO YAKO YOTE 21 Mjue sana Mungu, ili uwe
na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia. Ayubu 22:21 Kumjua Mungu ni kuwa na
ufaham...
No comments:
Post a Comment