VICHWA MBALIMBALI

KONGAMANO LA MAOMBI YA KITAIFA DODOMA

Kongamano la 6 la Maombi ya kitaifa linaendelea Dodoma likiongozwa na Mwl. Mwakasege, Tunamshukuru Mungu aliyezifanya Mbingu na Nchi na vyote vilivyo hai na visivyo, vinavyo onekana na visivyo kwa utukufu wake. Leo tarehe 17/07 ibada ya Maombi ya Taifa Dodoma yatarushwa kwenye STAR TV Live kuanzia saa kumi jioni mpaka saa kumi na moja jioni. Na redio mbalimbali zitakuwa zikirusha. NI KUOMBEA KATIBA MPYA. karibu tushiriki kwa kadri Roho wa Mungu atakavyokujaria.
Maombi haya yameuzuliwa na watu zaidi ya 4000 kutoka kila mkoa wa Tanzania na viongozi mbalimbali wa Dini katika ukumbi wa chimwaga, UDOM




1 comment:

  1. Jamani natamani nifike maombi naombeni utaratibu nipo mkoa wa Rukwa ,

    ReplyDelete

Injili ya Yesu Kristo Designed by INNJILI TANZANIA Copyright © 2013-2015

Injili Tanzania Blog. Theme images by Jason Morrow. Powered by Blogger.