VICHWA MBALIMBALI

SEMINNA YA MWAKASEGE INAYOENDELEA JANGWANI YENYE KICHWA CHA SOMO - UHUSIANO WA VITI VYA ENZI NA MAFANIKIO YAKO

Leo ikiwa ni siku ya nne ya semina ya Mwalimu Christopher Mwakasege inayoendelea katika viwanja vya Jangwani yenye kichwa cha somo "UHUSIANO WA VITI VYA ENZI NA MAFANIKIO YAKO"

Kiti cha enzi ni nafasi ya utawala uliyopo katika ulimwengu wa roho ambayo ina mamlaka juu ya muelekeo wa maisha yetu.

Nguvu za giza hazina mamlaka ya kiutawala bila kiti cha enzi,  Shetani amempa mnyama nguvu , kiti cha enzi na uwezo mwingi ili kupambana na watakatifu wa Mungu.
Ufunuo13:2

Endelea kutazama hapa wiki hii nzima kupitia ustream upate undani wa somo hili.


1 comment:

Injili ya Yesu Kristo Designed by INNJILI TANZANIA Copyright © 2013-2015

Injili Tanzania Blog. Theme images by Jason Morrow. Powered by Blogger.