SEMINA ITAFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA CHUO KIKUU CHA MLIMANI NA SIO JANGWANI KAMA ILIVYOZOELEKA HIVI KARIBUNI.
NI KUANZIA TAREHE 6-13 SEPTEMBER, 2015.
UKIPATA HABARI HII MFAHAMISHE NA MWENGINE.
KUMJUA MUNGU
-
KUMJUA MUNGU NI CHANZO CHA MAFANIKIO YAKO YOTE 21 Mjue sana Mungu, ili uwe
na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia. Ayubu 22:21 Kumjua Mungu ni kuwa na
ufaham...
HATUA MUHIMU ZA KUKUA KIROHO
-
CHUKUA HATUA
*MWINJILISTI PAUL*
*Joshua 3:1-5* Joshua anawaambia wana wa Israeli kuchukuwa hatua ili kuweza
kukabili safari iliyokuwa mbele yao kwa kuwa...
naomba namba za simu za mwalimu mwakasege za kutuma ujumbe na sadaka ...mbarikiwe
ReplyDelete